egazeti app for iPhone and iPad


4.2 ( 8752 ratings )
News Newsstand
Developer: Abdillah Muna
Free
Current version: 2.0.0, last update: 1 year ago
First release : 12 Aug 2020
App size: 16.92 Mb

Egazeti provides access to Mwananchi, The Citizen and Mwanaspoti publications on best mobile experience.
Through egazeti you can access special reports right on your finger tips.
Egazeti support various payments methods such as Tanzania mobile money:
Tigopesa
Airtel money
M-Pesa and others.
eGazeti is offerer by Mwananchi Communications LTD and Dau Technology LTD.

--- Swahili ---

eGAZETI ni mfumo bora wa kusoma magazeti ya Mwananchi Communications Limited (MCL),
Mwananchi Communications Limited and Dau Technology Limited wanafurahi kukuletea mfumo wa eGAZETI, unataka kufanana na Mwananchi Epaper reader.
kwa kushirikiana na Dau Technology LTD, eGAZETI inakuletea mfumo ambao ni rafiki kwa mtumiaji.
e Gazeti ni App itakayokupa uwezo wa kusoma Magazeti yote ya Mwananchi, The Citizen na gazeti lako pendwa la michezo la Mwanaspoti. Pia e Gazeti inakuletea uwezo wa kusoma habari mbalimbali za kiuchambuzi kama vile Special reports, ambayo ni habari maalumu kutoka gazeti la Mwananchi na The Citizen.
Kuwa wa kwanza kupata habari zenye viwango vya juu, zilizothibitishwa kimataifa.
Kwa kutumia eGAZETI utapata habari kutoka gazeti la:
- Mwananchi: ambalo limesheheni habari mbalimbali za Siasa, Michezo, Chambuzi mbalimbali. Ni gazeti linaoongoza Tanzania, na Afrika mashariki ambalo hutoka kila siku,
- The Citizen: Ni gazeti la kingereza ambalo hutoka kila siku lenye habari za kitaifa na kimataifa, habari za siasa, biashara na mengine mengi.
- Mwanaspoti: Ni gazeti la michezo, burudani. Kama wewe ni mpenda michezo au mfuatiliaji wa michezo, mwanaspoti litakupa yote haya.
Pia: eGAZETI inakupatia namna bora na rafiki ya kufanya malipo kwa mitandao yote pendwa.
Hii siyo Mwananchi Blog, ni mfumo kamili wa kusoma magazeti yetu kwa njia ya kidigitali
App ya Gazeti kwa mfumo wa epaper itakuwezesha kusoma machapisho hata kama utakuwa offline baada ya kupakua mwanzoni, pia itakuwezesha kuona maktaba yako ambayo inakurahisishia usomaji.
Utaweza kuchagua na kulipia gazeti kwa:
Malipo kwa siku
Malipo kwa wiki
Malipo kwa mwezi
Malipo kwa miezi mitatu na
Malipo kwa mwaka mmoja

Karibu, "First with credible news"